Methali 31:16-17
Methali 31:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Hufikiria kununua shamba, kisha hulinunua, na kulima zabibu kwa faida ya jasho lake. Huwa tayari kufanya kazi kwa nguvu na kuiimarisha mikono yake.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu. Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu.
Shirikisha
Soma Methali 31