Methali 31:14-15
Methali 31:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye ni kama meli za biashara: Huleta chakula chake kutoka mbali. Huamka kabla ya mapambazuko, akaitayarishia jamaa yake chakula, na kuwagawia kazi watumishi wake.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali. Tena huamka, kabla usiku haujaisha; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao.
Shirikisha
Soma Methali 31