Methali 24:7
Methali 24:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa mpumbavu hekima ni ngumu kuielewa; penye mkutano wa mashauri hafungui mdomo.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa mpumbavu hekima haipatikani; Hafumbui kinywa chake langoni.
Shirikisha
Soma Methali 24