Methali 24:30-31
Methali 24:30-31 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilipitia karibu na shamba la mvivu; shamba la mzabibu la mtu mpumbavu. Nilishangaa kuona limemea miiba, magugu yamefunika eneo lake lote, na ukuta wake wa mawe umebomoka.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:30-31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nilipita karibu na shamba la mvivu, Na shamba la mizabibu la mtu asiye na akili. Kumbe! Lote pia limemea miiba; Uso wake ulifunikwa kwa viwawi; Na ukuta wake wa mawe umebomoka.
Shirikisha
Soma Methali 24