Methali 24:26-27
Methali 24:26-27 Biblia Habari Njema (BHN)
Jibu lililo la haki, ni kama busu la rafiki. Kwanza fanya kazi zako nje, tayarisha kila kitu shambani, kisha jenga nyumba yako.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:26-27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Aibusu midomo atoaye jawabu la haki. Tengeneza kazi yako huko nje, Jifanyizie kazi yako tayari shambani, Ukiisha, jenga nyumba yako.
Shirikisha
Soma Methali 24