Methali 24:21-22
Methali 24:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanangu, umche Mwenyezi-Mungu na kumheshimu mfalme, wala usishirikiane na wale wasio na msimamo, maana maangamizi yao huwapata ghafla. Hakuna ajuaye maafa watakayozusha.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanangu, mche BWANA, na mfalme; Wala usishirikiane na wenye kigeugeu; Maana msiba wao utatokea kwa ghafla; Tena ni nani aujuaye uharibifu wa miaka yao.
Shirikisha
Soma Methali 24