Methali 24:17-18
Methali 24:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Usishangilie kuanguka kwa adui yako; usifurahie moyoni mwako kujikwaa kwake, maana Mwenyezi-Mungu aonaye hayo hatapendezwa; huenda akaacha kumwadhibu.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usifurahi, adui yako aangukapo; Wala moyo wako usishangilie ajikwaapo; BWANA asije akaliona hilo, likamkasirisha; Akageuzia mbali naye hasira yake.
Shirikisha
Soma Methali 24