Methali 24:1-2
Methali 24:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Usiwaonee wivu watu waovu, wala usitamani kuwa pamoja nao, maana fikira zao zote ni juu ya ukatili, hamna jema lolote litokalo midomoni mwao.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usiwawaonee wivu watu waovu, Wala usitamani kuwa pamoja nao; Kwa maana moyo wao hufikiri dhuluma, Na midomo yao huongea madhara.
Shirikisha
Soma Methali 24