Methali 12:9-10
Methali 12:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Afadhali mtu wa chini anayejitegemea, kuliko ajitakiaye makuu na kukosa chakula. Mtu mwadilifu huwajali wanyama wake, lakini huruma ya mwovu ni ukatili.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Afadhali mtu anayedharauliwa, ikiwa ana mtumwa, Kuliko ajisifuye, ikiwa anahitaji chakula. Mwenye haki huufikiri uhai wa mnyama wake; Bali huruma za mtu mwovu ni ukatili.
Shirikisha
Soma Methali 12