Methali 12:19-20
Methali 12:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Ukweli hudumu milele, lakini uongo ni wa kitambo tu. Wanaopanga maovu wamejaa udanganyifu moyoni, lakini wanaonuia mema hupata furaha.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:19-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mdomo wa kweli utathibitishwa milele; Bali ulimi wa uongo ni wa kitambo tu. Hila imo mioyoni mwao wafikirio uovu; Bali wafanyao mashauri ya amani, kwao kuna furaha.
Shirikisha
Soma Methali 12