Methali 12:17-18
Methali 12:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Msema kweli hutoa ushahidi wa kweli, lakini shahidi wa uongo hutamka udanganyifu. Maneno ya ovyo hujeruhi kama upanga, lakini asemayo mwenye hekima huponesha kidonda.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Atamkaye maneno ya kweli hufunua haki; Bali shahidi wa uongo hutamka hila. Kuna anenaye bila kufikiri, kama kuchoma kwa upanga; Bali ulimi wa mwenye haki ni afya.
Shirikisha
Soma Methali 12