Methali 12:15-16
Methali 12:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Mpumbavu huiona njia yake kuwa sawa, lakini mwenye hekima husikiliza shauri. Udhia wa mpumbavu hujulikana mara, lakini mwerevu huyapuuza matukano.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Njia ya mpumbavu imenyoka machoni pake mwenyewe; Bali yeye aliye na hekima husikiliza shauri. Ghadhabu ya mpumbavu hujulikana mara; Bali mtu mwerevu husitiri aibu.
Shirikisha
Soma Methali 12