Methali 12:13-14
Methali 12:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu mwovu hunaswa kwa uongo wake mwenyewe, lakini mwadilifu hutoka katika taabu. Mtu hufanikiwa kutokana na maneno yake kama apatavyo matokeo ya kazi za mikono yake.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika kosa la midomo kuna mtego kwa mbaya; Bali mwenye haki atatoka katika taabu. Mtu atashiba mema kwa matunda ya kinywa chake; Na atarudishiwa matendo ya mikono yake.
Shirikisha
Soma Methali 12