Wafilipi 2:8-9
Wafilipi 2:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Alijinyenyekesha na kutii mpaka kufa, hata kufa msalabani. Kwa sababu hiyo Mungu alimkweza juu kabisa, akampa jina lililo kuu kuliko majina yote.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba. Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba. Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina
Shirikisha
Soma Wafilipi 2