Wafilipi 2:23-24
Wafilipi 2:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo natumaini kumtuma kwenu mara nitakapojua jinsi mambo yatakavyoniendea. Na, ninatumaini katika Bwana kwamba nami pia nitaweza kuja kwenu karibuni.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, natumaini kumtuma huyo mara, hapo nitakapojua yatakayonipata. Nami naamini katika Bwana ya kuwa nitakuja na mimi mwenyewe hivi karibuni.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2