Wafilipi 2:10-11
Wafilipi 2:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Ili kwa heshima ya jina la Yesu, viumbe vyote mbinguni, duniani na kuzimu, vipige magoti mbele yake, na kila mtu akiri kwamba Yesu Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:10-11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2