Wafilipi 2:1
Wafilipi 2:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, maisha yenu katika Kristo yanawapeni nguvu? Je, upendo wake unawafarijini? Je, mnao umoja na Roho Mtakatifu na kuoneana huruma na kusikitikiana nyinyi kwa nyinyi?
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi ikiwako faraja yoyote katika Kristo, yakiwako matulizo yoyote ya mapenzi, ukiwako ushirika wowote wa Roho, ikiwako huruma yoyote na rehema
Shirikisha
Soma Wafilipi 2