Marko 9:14
Marko 9:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Walipowafikia wale wanafunzi wengine, waliona umati mkubwa wa watu hapo. Na baadhi ya waalimu wa sheria walikuwa wanajadiliana nao.
Shirikisha
Soma Marko 9Marko 9:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Walipowafikia wanafunzi, waliona mkutano mkuu wakiwazunguka, na waandishi wakijadiliana nao
Shirikisha
Soma Marko 9