Marko 4:22-23
Marko 4:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, kila kilichofichwa kitafichuliwa, na kila kilichofunikwa kitafunuliwa. Mwenye masikio na asikie!”
Shirikisha
Soma Marko 4Marko 4:22-23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana hakuna neno lililositirika, ila kusudi lije kudhihirika; wala hakuna lililofichwa, ila kusudi lije kutokea wazi. Mtu akiwa na masikio ya kusikilia, na asikie.
Shirikisha
Soma Marko 4