Marko 4:11
Marko 4:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye akawaambia, “Nyinyi mmejaliwa kujua siri ya ufalme wa Mungu, lakini wale walio nje wataambiwa kila kitu kwa mifano
Shirikisha
Soma Marko 4Marko 4:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuijua siri ya ufalme wa Mungu, bali kwa wale walio nje, yote hufanywa kwa mifano
Shirikisha
Soma Marko 4