Mathayo 7:9-10
Mathayo 7:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa jiwe? Au je, akimwomba samaki, atampa nyoka?
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? Au akiomba samaki, atampa nyoka?
Shirikisha
Soma Mathayo 7