Mathayo 7:28-29
Mathayo 7:28-29 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, umati wa watu ukashangazwa na mafundisho yake. Hakuwa kama waalimu wao wa sheria, bali alifundisha kwa mamlaka.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:28-29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa, Yesu alipoyamaliza maneno hayo, makutano walishangaa mno kwa mafundisho yake; kwa maana alikuwa akiwafundisha kama mtu mwenye mamlaka, wala si kama waandishi wao.
Shirikisha
Soma Mathayo 7