Mathayo 7:23
Mathayo 7:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo nitawaambia: ‘Sikuwajua nyinyi kamwe; ondokeni mbele yangu, enyi watenda maovu.’
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
Shirikisha
Soma Mathayo 7