Mathayo 7:14
Mathayo 7:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini njia inayoongoza kwenye uhai ni nyembamba, na mlango wa kuingilia humo ni mwembamba; ni watu wachache tu wanaoweza kuigundua njia hiyo.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali mlango ni mwembamba, na njia imebana iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.
Shirikisha
Soma Mathayo 7