Mathayo 22:45-46
Mathayo 22:45-46 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi, Daudi akimwita Bwana, amekuwaje ni mwanawe? Wala hakuweza mtu kumjibu neno; wala hakuthubutu mtu ye yote tangu siku ile kumwuliza neno tena.
Shirikisha
Soma Mathayo 22Mathayo 22:45-46 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, ikiwa Daudi anamwita Kristo ‘Bwana,’ anawezaje kuwa mwanawe?” Hakuna mtu yeyote aliyeweza kumjibu neno. Na tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu tena kumwuliza swali.
Shirikisha
Soma Mathayo 22