Mathayo 22:13-14
Mathayo 22:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo mfalme akawaambia watumishi, ‘Mfungeni miguu na mikono mkamtupe nje gizani; huko atalia na kusaga meno.’” Yesu akamaliza kwa kusema, “Wengi wamealikwa, lakini wachache wameteuliwa.”
Shirikisha
Soma Mathayo 22Mathayo 22:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mfalme akawaambia watumishi, Mfungeni mikono na miguu, mchukueni mkamtupe katika giza la nje; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno. Kwa maana waitwao ni wengi, bali wateule ni wachache.
Shirikisha
Soma Mathayo 22