Mathayo 15:34-35
Mathayo 15:34-35 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba na visamaki vichache.” Basi, Yesu akawaamuru watu wakae chini.
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:34-35 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akawaambia, Mnayo mikate mingapi? Wakasema, Saba, na visamaki vichache. Akawaagiza mkutano waketi chini
Shirikisha
Soma Mathayo 15