Mathayo 15:31
Mathayo 15:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Umati ule wa watu ulishangaa sana ulipoona bubu wakiongea, waliokuwa wamelemaa wamepona, viwete wakitembea na vipofu wakiona; watu wakamsifu Mungu wa Israeli.
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
hata ule mkutano wakastaajabu, walipowaona mabubu wanasema, vilema wanakuwa wazima, viwete wanakwenda, na vipofu wanaona; wakamtukuza Mungu wa Israeli.
Shirikisha
Soma Mathayo 15