Mathayo 12:46-47
Mathayo 12:46-47 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alikuwa bado anasema na umati wa watu wakati mama yake na ndugu zake walipofika na kusimama nje, wakitaka kusema naye. Basi, mtu mmoja akamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje, wanataka kusema nawe.”
Shirikisha
Soma Mathayo 12Mathayo 12:46-47 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Alipokuwa katika kusema na makutano, tazama, mama yake na ndugu zake walikuwa wakisimama nje, wataka kusema naye. Mtu mmoja akamwambia, Tazama, mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanataka kusema nawe.
Shirikisha
Soma Mathayo 12