Mathayo 12:41
Mathayo 12:41 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wa Ninewi watatokea wakati wa hukumu, nao watakihukumu kizazi hiki kwamba kina hatia. Maana Waninewi walitubu kwa sababu ya mahubiri ya Yona, na kumbe hapa kuna kikuu kuliko Yona!
Shirikisha
Soma Mathayo 12Mathayo 12:41 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watu wa Ninawi watasimama siku ya hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki, nao Waninawi watawahukumu kuwa wamekosa; kwa sababu wao walitubu kwa mahubiri ya Yona; na hapa yupo aliye mkuu kuliko Yona.
Shirikisha
Soma Mathayo 12