Luka 2:46-47
Luka 2:46-47 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku ya tatu, walimkuta hekaluni kati ya waalimu, akiwasikiliza na kuwauliza maswali. Wote waliosikia maneno yake walistaajabia akili yake na majibu yake ya hekima.
Shirikisha
Soma Luka 2Luka 2:46-47 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa baada ya siku tatu wakamwona hekaluni, ameketi katikati ya waalimu, akiwasikiliza na kuwauliza maswali. Nao wote waliomsikia walistaajabia fahamu zake na majibu yake.
Shirikisha
Soma Luka 2