Walawi 7:7
Walawi 7:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Sheria ni moja kuhusu sadaka ya kuondoa hatia na sadaka ya kuondoa dhambi: Kuhani anayefanya ibada ya upatanisho ndiye atakayeichukua.
Shirikisha
Soma Walawi 7Walawi 7:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama hiyo sadaka ya dhambi ilivyo, na sadaka ya hatia ni vivyo hivyo; sheria yake ni moja; huyo kuhani afanyaye upatanisho kwayo, ndiye atakayekuwa nayo.
Shirikisha
Soma Walawi 7