Walawi 7:30
Walawi 7:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Atamletea kwa mikono yake mwenyewe kama sadaka ya kuteketezwa kwa moto. Ataleta mafuta yake pamoja na kidari ambacho atafanya nacho ishara ya kumtolea Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Walawi 7Walawi 7:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mikono yake mwenyewe itamletea hizo sadaka za kusongezwa kwa moto; mafuta yake pamoja na kidari atavileta, ili kwamba hicho kidari kitikiswe kuwa sadaka ya kutikiswa mbele ya BWANA.
Shirikisha
Soma Walawi 7