Walawi 7:3-4
Walawi 7:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mafuta yake yote: Mafuta ya mkia na yale yanayofunika matumbo yatatolewa na kuteketezwa pamoja na zile figo mbili pamoja na mafuta yake na ile sehemu bora ya ini.
Walawi 7:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika sadaka hiyo atasongeza mafuta yake yote; yaani, mkia wake wenye mafuta, na mafuta yafunikayo matumbo, na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno chake, na kitambi kilicho katika ini, pamoja na figo zake mbili, hayo yote atayaondoa
Walawi 7:3-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)