Walawi 7:10
Walawi 7:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila sadaka ya nafaka, iwe imechanganywa na mafuta au kavu, itakuwa ya wazawa wa Aroni, na wote wagawiwe kwa sawa.
Shirikisha
Soma Walawi 7Walawi 7:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na kila sadaka ya unga, kama umeandaliwa na mafuta, au kama ni mkavu, watautwaa wana wote wa Haruni kuutumia, kila mtu sawasawa.
Shirikisha
Soma Walawi 7