Walawi 19:32-33
Walawi 19:32-33 Biblia Habari Njema (BHN)
“Uwapo mbele ya mzee ni lazima usimame ili kumpa heshima yake; nawe umche Mungu wako. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. “Kama kuna mgeni katika nchi yako usimtendee vibaya.
Shirikisha
Soma Walawi 19Walawi 19:32-33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwondokeeni mtu mwenye mvi; heshimuni uso wa mtu mzee; nawe mche Mungu wako, Mimi ndimi BWANA. Na mgeni akikaa pamoja nawe katika nchi yako, usimdhulumu.
Shirikisha
Soma Walawi 19