Walawi 19:15
Walawi 19:15 Biblia Habari Njema (BHN)
“Unapotoa hukumu uamue kwa haki; usimpendelee maskini wala kumwogopa mwenye cheo. Bali ni lazima kumwamua jirani kwa haki.
Shirikisha
Soma Walawi 19Walawi 19:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msitende yasiyo haki katika hukumu, usimpendelee mtu maskini, wala kumstahi mwenye nguvu; bali utamhukumu jirani yako kwa haki.
Shirikisha
Soma Walawi 19