Walawi 19:11-12
Walawi 19:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
“Msiibe, msidanganye wala kuambiana uongo. Msiape uongo kwa jina langu hata kulikufuru jina la Mungu wenu. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Walawi 19Walawi 19:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msiibe, wala msidanganye, wala msiambiane uongo. Msiape uongo kwa jina langu, na ukalinajisi jina la Mungu wako; Mimi ndimi BWANA.
Shirikisha
Soma Walawi 19