Yobu 36:8-10
Yobu 36:8-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kama watu wamefungwa minyororo, wamenaswa katika kamba za mateso, Mungu huwaonesha matendo yao maovu, na kwamba wao ni watu wenye kiburi. Huwafungua masikio wasikie mafunzo, na kuwaamuru warudi na kuacha uovu.
Shirikisha
Soma Yobu 36Yobu 36:8-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao wakifungwa kwa pingu, Wakitwaliwa kwa kamba za mateso; Ndipo huwaonesha matendo yao, Na makosa yao, ya kuwa wametenda kwa kujivuna. Yeye huyafunua masikio yao, wasikie maonyo, Na kuwaagiza warudi kuuacha uovu.
Shirikisha
Soma Yobu 36