Yobu 15:4-5
Yobu 15:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wewe unapuuza uchaji wa Mungu; na kuzuia kutafakari mbele ya Mungu. Uovu wako ndio unaokifundisha kinywa chako, nawe wachagua kusema kama wadanganyifu.
Shirikisha
Soma Yobu 15Yobu 15:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naam, wewe wapuuza hofu ya Mungu, Nawe wazuia ibada mbele za Mungu. Kwani uovu wako unakufundisha kinywa chako, Nawe wachagua ulimi wake mwenye hila.
Shirikisha
Soma Yobu 15