Yohane 7:4-5
Yohane 7:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu hafanyi mambo kwa siri kama anataka kujulikana kwa watu. Maadamu unafanya mambo haya, basi, jidhihirishe kwa ulimwengu.” (Hata ndugu zake hawakumwamini).
Shirikisha
Soma Yohane 7Yohane 7:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana hakuna mtu afanyaye mambo kwa siri, naye yeye mwenyewe anataka kujulikana. Ukifanya mambo haya, basi jidhihirishe kwa ulimwengu. Maana hata nduguze hawakumwamini.
Shirikisha
Soma Yohane 7