Yohane 7:33-34
Yohane 7:33-34 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akasema, “Bado niko nanyi kwa muda mfupi, kisha nitamwendea yule aliyenituma. Mtanitafuta lakini hamtaniona, na pale nitakapokuwa nyinyi hamwezi kufika.”
Shirikisha
Soma Yohane 7Yohane 7:33-34 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Yesu akasema, Bado kitambo kidogo nipo pamoja nanyi; kisha naenda zangu kwake yeye aliyenituma. Mtanitafuta wala hamtaniona; nami nilipo ninyi hamwezi kuja.
Shirikisha
Soma Yohane 7