Yohane 5:33-34
Yohane 5:33-34 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyinyi mlituma ujumbe kwa Yohane naye aliushuhudia ukweli. Si kwamba mimi nautegemea ushahidi wa wanadamu, lakini nasema mambo haya ili mpate kuokolewa.
Shirikisha
Soma Yohane 5Yohane 5:33-34 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ninyi mlituma watu kwa Yohana, naye akaishuhudia kweli. Si kwamba ninaupokea ushuhuda wa wanadamu; lakini ninasema haya ili ninyi mpate kuokoka.
Shirikisha
Soma Yohane 5