Yohane 12:39-40
Yohane 12:39-40 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo hawakuweza kuamini, kwani Isaya alisema tena: “Mungu ameyapofusha macho yao, amezipumbaza akili zao; wasione kwa macho yao, wasielewe kwa akili zao; wala wasinigeukie, asema Bwana, ili nipate kuwaponya.”
Shirikisha
Soma Yohane 12Yohane 12:39-40 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndiyo sababu wao hawakuweza kusadiki; kwa maana Isaya alisema tena, Amewapofusha macho, Ameifanya mizito mioyo yao; Wasije wakaona kwa macho yao, Wakafahamu kwa mioyo yao, Wakaongoka, nikawaponya.
Shirikisha
Soma Yohane 12