Yohane 12:37-38
Yohane 12:37-38 Biblia Habari Njema (BHN)
Ingawa Yesu alifanya miujiza hii yote mbele yao, wao hawakumwamini. Hivyo maneno aliyosema nabii Isaya yakatimia: “Bwana, nani aliyeuamini ujumbe wetu? Na uwezo wa Bwana umedhihirishwa kwa nani?”
Shirikisha
Soma Yohane 12Yohane 12:37-38 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini ingawa amefanya ishara nyingi namna hiyo mbele yao, hawakumwamini; ili litimie lile neno la nabii Isaya alilolisema, Bwana, ni nani aliyezisadiki habari zetu; Na mkono wa Bwana amefunuliwa nani?
Shirikisha
Soma Yohane 12