Yeremia 51:24
Yeremia 51:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nami nitamlipa Babeli, na wote wakaao ndani ya Ukaldayo, mabaya yao yote, waliyoyatenda katika Sayuni mbele ya macho yenu, asema BWANA.
Shirikisha
Soma Yeremia 51Yeremia 51:24 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nitaiadhibu Babuloni na wakazi wote wa Kaldayo mkiona kwa macho yenu wenyewe, kwa sababu ya uovu wote walioufanya katika Siyoni. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Shirikisha
Soma Yeremia 51