Yeremia 51:19
Yeremia 51:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu aliye hazina ya Yakobo si kama hizo, maana yeye ndiye aliyeviumba vitu vyote, na Israeli ni kabila lililo mali yake; Mwenyezi-Mungu wa Majeshi, ndilo jina lake.
Shirikisha
Soma Yeremia 51Yeremia 51:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye, Fungu la Yakobo, siye kama hawa; Maana ndiye aliyeviumba vitu vyote; Na Israeli ni kabila la urithi wake; BWANA wa majeshi ndilo jina lake.
Shirikisha
Soma Yeremia 51