Yeremia 5:3
Yeremia 5:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, wewe watafuta daima uaminifu. Umewatwanga, lakini hawakuona uchungu; umewateketeza, lakini walikataa kukosolewa. Wamezifanya nyuso zao kuwa ngumu kuliko mwamba; wamekataa kabisa kurudi kwako.
Shirikisha
Soma Yeremia 5Yeremia 5:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, macho yako je! Hayaangalii uaminifu? Umewapiga, lakini hawakuhuzunika; umewakomesha, lakini wamekataa kurudiwa wamefanya nyuso zao kuwa ngumu kuliko mwamba wamekataa kurudi.
Shirikisha
Soma Yeremia 5