Yeremia 5:20-21
Yeremia 5:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
“Watangazie wazawa wa Yakobo, waambie watu wa Yuda hivi: Sikilizeni enyi wajinga na wapumbavu; watu mlio na macho, lakini hamwoni, mlio na masikio, lakini hamsikii.
Shirikisha
Soma Yeremia 5Yeremia 5:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tangazeni neno hili katika nyumba ya Yakobo, litangazeni katika Yuda, kusema, Sikilizeni neno hili, enyi watu wajinga msio na ufahamu; mlio na macho ila hamuoni; mlio na masikio ila hamsikii.
Shirikisha
Soma Yeremia 5