Yeremia 5:18
Yeremia 5:18 Biblia Habari Njema (BHN)
“Lakini, hata katika siku hizo mimi Mwenyezi-Mungu nasema, sitawaangamiza na kuwamaliza kabisa.
Shirikisha
Soma Yeremia 5Yeremia 5:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini hata katika siku zile, asema BWANA, sitawakomesha ninyi kabisa.
Shirikisha
Soma Yeremia 5